Nishazoea lyrics
Ndereno Na Vifijo si Mayowe Te Amo.. Furaha Yangu Kupendwa Na wewe
Maneno Yasemwayo Nayapuza ujue
Sikurushi roho Nijuache uumieNa sina sifa ya kuku kila Da ni nipakue mie
Wala Lopo ya Kasuku ya Watu NiyahadithieUpole wangu Tausi
Vigengeni hunikuti
Na sina Huba la Nuksi
Nakshi zangu Ni MarashiSawa Kusemwa Nishazoea
Haya Mwenzako NishazoeaSawa kusemwa Nishazoea
Haya Mwenzako nishazoeaMi sitovaa Vimini vya mpasuo Kwetu Mwiko
Natinga Baibuu Mwilini na Videra Vya Baikoko
Tena Najitia Uturi Viyasmini vya MtokoNikupeleke Nyumbani kisiwa cha Karafuu
Tukale madoriani Shoki shoki za UdambuJioni Twende forodhani
Tukale upepo mwanana
Chaza mchukue mwambani
Na iwe zawadi ya mamaUpole wangu Tausi
Vigengeni hunikuti
Na sina Huba la Nuksi
Nakshi zangu Ni MarashiSawa Kusemwa Nishazoea (aaah ahhh ah)
Haya Mwenzako Nishazoea (nishazoea mieee)Sawa kusemwa Nishazoea (oooh ooh oh oh)
Haya Mwenzako nishazoea (nishazoea mieee eeeh )
-
Who is the author of the song Nishazoea?
The song Nishazoea was written by Malkia Karen.
- Who sings the song Nishazoea?
The song Nishazoea is performed by Malkia Karen.