Wote lyrics
Mwenzako zikianza story za mapenzi Mfano wakwanza ni wewe Hadi marafiki zangu wananicheka Naukumbuka ushenzi tulofanyaga mi nawe Mwenzako mi nakuonea vibwenga
Hata wakisema maneno ni bure
Maana nyani halionagi kundule
Wanachotaka tuachane uzurure
Watucheke kiko wapiUjana una mengi na mengine nami nimefanya
Siwezi danganya nishamaliza
Kila niliompaga moyo autunze
Basi aliugawanya
Ona nilihanya ikaniumiza
We unanijali unanivumiliaI wish, tuzeeke wote
I wish, tuzikwe wote mmoja akifa kesho
Yaumul kul haali
Unanipenda
I wish, tuzeeke wote
I wish, tuzikwe wote mmoja akifa kesho(Mapenzi) sa ukiondoka nitabaki na nani
(Mapenzi) ukibaki nitaondoka na nani
(Mapenzi) siwezi peke yangu
YeahMama ukiongeza nitajinenepea
Unavyo nigombeza nakuona una care
Eti hatujapendeza wanatufokea
Me I don't care ndo nishakolea
Kipofu nishaona mwezi
Vurugu vurugu siwezi
Leo sinza kesho kinyerezi mara mbeziUjana una mengi na mengine nami nimefanya
Siwezi danganya Nishamaliza
Kila niliompaga moyo autunze
Basi aliugawanya
Ona nilihanya Ikaniumiza
We unanijali unanivumiliaI wish, tuzeeke wote
I wish, tuzikwe wote mmoja akifa kesho
Yaumul kul haali
Unanipenda
I wish, tuzeeke wote
I wish, tuzikwe wote mmoja akifa keshoI wish (x4)
(Mapenzi) sa ukiondoka nitabaki na nani
(Mapenzi) ukibaki nitaondoka na nani
(Mapenzi) siwezi peke yangu
-
Who is the author of the song Wote?
The song Wote was written by Harmonize.
- Who sings the song Wote?
The song Wote is performed by Harmonize.