Amelowa lyrics
Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh Binti wa makamo come closer na give me some more
Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia
Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigizaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatokaAmelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvuaUuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilambaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatokaAmelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvuaAmeniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
-
Who is the author of the song Amelowa?
The song Amelowa was written by Harmonize.
- Who sings the song Amelowa?
The song Amelowa is performed by Harmonize.